ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Nyie mlio kuwa na uwezo wa kuyarudia mahusiano yenu ya nyuma mna moyo sana
ni type za wale madem wanaotaka kusiklizwa kila ki2 afanyiwe ..lkn wao hawafnyi kama unavyo taka
Sent using Jamii Forums mobile app
Snake xenziaWe ulitegemea after 5 years kupita utarud na kuendelea ulipoishia? Kwan umeambiwa game la kwenye simu lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuuNa bado unataka kurudiana nae? Mkuu fanya maamuzi yenye busara mbeleni usije juta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kusoma hata picha huioni?Habari za juma pili.
Niende kwenye mada. Inshort ni mwanamke tulie achana miaka 5 nyuma ikiwa mimi ndio chanzo.
Tumejikuta tunaingia tena katika kulingana na kila moja bado kua na feeling na mwenzake
Lakini kuna unjumbe ambao nimepokea leo asibuh kutoka kwake nimebaki mdomo wazi sijui nijibu nini naombeni ushauri jamani
Huu ndio ujumbe unasema
"Machmadem nakupnd ila plz naomb unipe mda kwanz ku build haya mpnz yetu upya coz nahc na mamb meng yakuwek saw kwnz wakt huu plz emu npe mda kwnz nahc kwa ss sitokuw serious"
Sent using Jamii Forums mobile app