waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama
Mnafiq mkubwa.Km Mbowe hausiki mbona mmepigwa marufuku kuhoji?
Huyo hana utu wowote ni lb7 badala kuwa sympathy na Ben ameanzisha thread kuisanifu familia ya Ben.Unajua mkuu unaongelea mtu kutokuonekana...sasa unapoleta mzaha kwenye jambo kama hili ..tuna doubt sana utu wako
Watu wana majonzi familia inahangaika usiku na mchana kumtafuta mpendwa wao halafu pimbi fulani analeta mzaha kwenye kitu serious, mjinga kabisa.leta story za kimama mama hapa sijui bwana yako hajakukungu'ta poa be serious bibi mchafu wewe.
swissme
Mzaha upi?Unajua mkuu unaongelea mtu kutokuonekana...sasa unapoleta mzaha kwenye jambo kama hili ..tuna doubt sana utu wako
Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
Mzaha upi?
Muulizeni Mbowe Ben Saanane katibu wake yuko wapi?
Samahani msinipoteze kama mlivyompoteza Ben Saanane. Make nyie maspecialist wa ujambazisawa ndugu...utakipata unachokitafuta
sawa mkuu...hongera kwa hiloSamahani msinipoteze kama mlivyompoteza Ben Saanane. Make nyie maspecialist wa ujambazi
Hahahahamatusi yasingekatzwa ningekutukana, ila nikuite TAHIRA roho yangu itulie