Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
Unafurahia kupotea kwa Ben Saanane siyo? Sawa mkuuHivi hii nchi inaelekea wapi wakuu?Manake tulisha tahadharishwa kuhusu dere.dere ana shida kichwani amekosekana kabsa mtu wa kurudisha gari inapoteza mweleo inaelekea kutumwaga mtoni
leta story za kimama mama hapa sijui bwana yako hajakukungu'ta poa be serious bibi mchafu wewe.
swissme
Unafurahia kupotea kwa Ben Saanane siyo? Sawa mkuu
Wewe umejuaje kama mbowe,anajua Ben alipo?kwani mbowe alikuwa na ugomvi na Ben?Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
hata kwa Mwangosi ulianza hivyohivyo kwamba,ameuwawa na kitu kilichotupwa na wafuasi wa chadema lakini picha zikakuumbua, hata kwa Ulimboka ulianza hivyohivyo kwamba,ametekwa na Mbowe bahati akufa akajakueleza yaliyompata ukauumbuka na kwa huyu unakuja hivyohivyo utaumbuka tu,Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
Kwani Mbowe mmemuonyesha mahali mulipompeleka Ben?.Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
Tutolee unafiki wa machozi ya mamba, mnajifanya kumlilia Ben wakati nyie ndio ma informer wakubwa, tunacheka na nyie mnafikiri tumependa mlivyomfanyia Ben.Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.
Km Mbowe hausiki mbona mmepigwa marufuku kuhoji?Tutolee unafiki wa machozi ya mamba, mnajifanya kumlilia Ben wakati nyie ndio ma informer wakubwa, tunacheka na nyie mnafikiri tumependa mlivyomfanyia Ben.
Mkome kabisa was...khgfyfcvbnk..zi wakubwa.
Muulizeni Mbowe Ben Saanane katibu wake yuko wapi?Kwa chuki na uzushi ulionao bila shaka utakuw aunaomba kwa shetani!. Chuki zako na ujuha ndivyo nitakuua. Unaomba nini ikiwa unajua kila kitu? Pumbavue kwelikweli linamdhihaki Mungu. Labda unaomba kwa mungu
Toa unafiki wako nani asiyekujua wewe na Lumumba wenzako mnasherehekea kupotea kwake.Unafurahia kupotea kwa Ben Saanane siyo? Sawa mkuu