Nakuomba Professor Lipumba ukafanye Ukarabati Kijijini kwenu

Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Ilolanguru ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
huyo ni muislam popote atakapofariki anastahiri kuzikwa
 
Mkuu ndio fainali hiyo alafu dakika zenyewe za lala salama,

Kama hakuyafanya hayo mapema basi tena,

Kumbuka kesi ya Marehemu Nyaisanga (R.I.P.).
 
Kwani huko Sikonge unakotaka akajenge siku akifa atazikwa hapo alipojenga ama atazikwa kwenye eneo la makaburi ya uma?

Na hata kama atajenga ama asijenge mara baada ya kufa atafaidika na nini au ataarika kwa kiwango gani?

Ni aibu kama mtu hawezi kukumbuka kwao ataweza kuwa kumbuka wananchi wa kawaida? aache aibu akajenge kwao.
 
Kweli kabisa aisee! Bwana yule anatia aibu sana. Ukiachilia mbali kutokuwa na nyumba yake pale ilolangulu pia yupo kaka yake ukimuona tu sura wala hauulizi lakini cha ajabu kaka yake anaishi maisha ya dhiki kuu akiwa hana shughuli yoyote ya kufanya.

Jamaa kakomaa kulala Buguruni na kupiga fedha za magamba huku ndugu zake wananuka dhiki na wala hajali
 
Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Ilolanguru ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
Sasa mbona mnatuchanganya , Tangu lini mkazi wa Buguruni akahangaikia Tabora .
 
Kweli kabisa aisee! Bwana yule anatia aibu sana. Ukiachilia mbali kutokuwa na nyumba yake pale ilolangulu pia yupo kaka yake ukimuona tu sura wala hauulizi lakini cha ajabu kaka yake anaishi maisha ya dhiki kuu akiwa hana shughuli yoyote ya kufanya.

Jamaa kakomaa kulala Buguruni na kupiga fedha za magamba huku ndugu zake wananuka dhiki na wala hajali
Unacheza na mademu wa kinyarwanda wewe .
 
Mimi hisia zangu zinanituma kuwa Bwana Yule ni ofisa usalama wa Taifa wa ngazi ya juu but undercover!!. Wale watu wanalishwa viapo vya ajabu sana. Mara aapa kuwa maisha yako yote utaishi kama kichaa!! Kwa videmu vizuri vinaaapa kula uroda na mwanaume yoyote yule kwa ajili ya kutimiza malengo ya kazi. Nilisikia hivyo mahali. Sijui ni kweli!!
 
Back
Top Bottom