Naishi Masasi, Mtwara, na nyumbani ni Newala Mtwara huo umeme unaosema wa kutosha uko wapi?Kiduni wewe unaishi mtwara ipi?! Mtwara lindi umeme ni wa kutosha mbona hakuna mgao na umeme uko stable tu. Au mgao unafanywa nyumbani kwako pekee?
Kwa kua hawajatangaza mgao, huku kukatwa umeme kwa masaa kadhaa haswa majira ya usiku tuite nini? Najua unatumbua we ni muongo mimi niko eneo husika (Masasi, Mtwara) ninalifahamu tatizo na nimeeleza limeanza mwaka jana mwezi wa kumi na moja mpaka jana usiku pia ulikatwa kuanzia saa 1 mpaka saa 4, na huu ukataji wa umemw ni wa mara kwa mara mchana unakatwa mara nyingi na inaonyesha ni makusudi sababu unawezwa kukatwa na ukarudishwa muda huohuo wakakata tenaKwanza kabisa mtoa mada acha kupotosha uma ni lini Tanesco wametanga magao wa umeme. Maana hatujasikia tamko lolote la kuhusu mgao wa umeme. Napa uwe unafatilia jambo kwanza ili uwe na uwakika kabla ya kupost kitu usichokuwa na uwakikia. Maana Kila siku imekuwa ni lawama zisizo na uwakika hata kidogo
Mimi niko Masasi-Mtwara haya niloyaandika ndo yaliyopo na yanayoendelea na nimefikia hatua ya kushangaa kutokana na muheshimiwa waziri alisema umeme uko mwingi hata uunganishwe kwa wakazi wote lakini sasa iko wazi aliudanganya uma maana wakazi walounganishiwa umeme hawazidi nusu na sasa kuna hili tatizo ambalo dhahiri inaonekana mgao kutokana na namna unavyozimwa sifikirii wafanyakazi watanesco hawawezi kufanya marekebisho mchana wanasubiri usiku wafanye marekebisho haiingii akilini kabisa, ndugu yangu unayekataa hoja hii we uko wapi? Mi niko sehemu husikaHivi unaelewa kusema uongo ni Dhambi. Kwa kumbukumbu yako fupi lini Tanesco wametangaza mgawo wa umeme.natamani TCRA kwa ile sheria ingedil na watu kama nyie.Muhongo alisema itafika wakati tutasahau kukatikakatika kwa umeme.usiwe mvivu wa kufikiri.jipange urudi upya dogo