sassy girl
Senior Member
- Sep 19, 2020
- 112
- 174
Asante kama ukihitaji ushaur wa haraka na wewe tafuta attention kama mie ili watu waukimbilie Uzi wako[emoji3]bila kichwa cha habari usingesoma ,hongera Kwa kukwazika panapo makaaliwa nikishusha mzigo ntakuPM utume permpersWewe una kichaa sio bure.
Unatuandikiaje uzi kwamba unakufa? Au ndo attention seeker
Tunakuja kusoma kumbe ni ishu ya kupenda kula udongo
Ushanikwaza [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
ni second trimester mama kijacho2nd semester
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]ni second trimester mama kijacho