Nakosa maamuzi sahihi....,

Sasa hapo ushauriwe nini na jibu lipo wazi kabisa? Yani kweli kuna baadhi ya watu wana akili za kuvukia barabara na ww ni mmoja wapo
 
anapima kina cha mto kwa kudumbukiza mguu

mwambie ajidhuru.......kujiua mchezo...,hayo mambo

waliyafanya kina jiah khan na hadi kesho familia yake inasikitika

jaman mi mgeni maeneo haya, hivi huyu Jiah khan ni nani....
 
Last edited by a moderator:
Papuchi zinawapa uchiziiiii mungu awasaidie kaka baba babu wajomba zetu
 

niwazi msichana uliye nae umpendi ndio maana ujui cha kufanya na unaogopa kumwambia ukweli.

Na umekuwa na uhusiano na huyo msichana na ulikuwa unamtumia kumsahau wa kwanza. Kibaya zaidi wa kwanza karudi na huna chakufanya.

Wewe ni mtu wa kuyumbishwa.
Nakushauri umuache ulie nae maana uta muumiza na urudiane na huyo msichana wa kwanza.

Una ugonjwa wa kukosa msimamo.
 
Sidhani apa kama kuna msaada wakukupa au upewe maji ya kunywaa tu au kiroba akipega simu umjibu kwa jeurii humtaki una mwingine asikufanye kichwaa kuwa mmnzitoo bure mwaneume msimamo bana
 
Huyo wa zamani achana naye wala usimfikirie tena...maisha yako ulishayawekeza kwa mwanamke mwingine na huko una damu yako.
 

Hapo Atakuwa kakosa mwelekeo tu Ndo maana Anakufuata.
Move on hafai Utatesa MToto Wako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…