MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Nioe, Sababu Tu, Nisilale Mwenyewe?Inabidi uoe..! Usilale mwenyewe
If you did blood money, my friend you deserve it!!
Nashukuru MkuuHiyo hali iliwahi kunikuta mwaka 2014 Nilikuwa naishi sina amani bila sababu yeyote hadi nilikuwa nalala kazini mchana hali ilyonipelekea kukaliwa kikao kazn .....
Suluhu niliipata 2016 nilipookoka na Yesu akawa kiongoz wangu nilijihis shujaa kila mda na yote hayo yakawa mwisho wake......
Ndoto Ninazoota , Zinafania Na Uhalisia Kabisa, Mahusiano Yangu Kuvunjika Ni Kweli, Ila Sidhani Kama Ni Sababu, Na Jamii Ni Ya Kawaida Mno, Coz Hata Muda Wa Kuonana Ni Mchache MnoNafikiri tunatakiwa kutrace kipindi ambacho tatizo lilianza.
Siku zipi linazidi?
Muda gani linazidi?
Unaota ndoto za aina gani?
Wakati uko mtoto umewahi kua na phobia yoyote?
Una mahusiano yaliyovunjika wakati hili swala linaanza?
Mahusiano yako na marafiki na jamii yapoje?
Una hallucinations zozote?
Umeunda marafiki wa kufikirika?
Mahusiano yako na jamii unayaonaje?
Mkuu hili la hawa marafiki hewa "wakufikirika" hivi nawafukuzaje kichwani,let say nikiwa alone napiga nao story,sio kwa sauti kubwa,ni ile "kimoyomoyo" in my mind sijui head.Nafikiri tunatakiwa kutrace kipindi ambacho tatizo lilianza.
Siku zipi linazidi?
Muda gani linazidi?
Unaota ndoto za aina gani?
Wakati uko mtoto umewahi kua na phobia yoyote?
Una mahusiano yaliyovunjika wakati hili swala linaanza?
Mahusiano yako na marafiki na jamii yapoje?
Una hallucinations zozote?
Umeunda marafiki wa kufikirika?
Mahusiano yako na jamii unayaonaje?
Ndoto Ninazoota , Zinafania Na Uhalisia Kabisa, Mahusiano Yangu Kuvunjika Ni Kweli, Ila Sidhani Kama Ni Sababu, Na Jamii Ni Ya Kawaida Mno, Coz Hata Muda Wa Kuonana Ni Mchache Mno
Hakuna njia ya moja kwa moja.Mkuu hili la hawa marafiki hewa "wakufikirika" hivi nawafukuzaje kichwani,let say nikiwa alone napiga nao story,sio kwa sauti kubwa,ni ile "kimoyomoyo" in my mind sijui head.
CC Mshana Jr ukuje hapa tafadhari
MPOKEE YESUWanajamvi Habari Za Jioni, Bila Shaka Ni Wazima na Bukheri Wa Afya, Naombeni Nishee Nanyi Hili Jambo huenda Nikapata Ufumbuzi, Sababu Naamini humu kuna Watu Wenye Ufahamu wa Kila Aina, Kadri Siku Zinavyoenda Naona Tatizo Linazidi Kuwa Kubwa, Nimekuwa na Hofu Mno Hasa Ukiingia Usiku Wa Kiza, Yaani Moyo Unaenda Mbio Bila Sababu, Usingizi Unakata Kabisa, Nikisema Kausingizi Kanipitie tu, Ndio Nitaota Vitu Vya Ajabu Hadi Nashtuka Usingizini, Natamani Muelewe Hii Hali Ninayopitia, Imefika Pahala Nashinda Ma Club Mradi Nirudi Nyumbani Asubuhi, Nayo Nimeona Sio Solution Zaidi Ya Kufuja tu Pesa, Kwa Wenye Experience mwaweza Nisaidia Hii Hali Inatokana Na Nini Na Nifanye Nini iondoke? Please! Over Please! Nahitaji Msaada, Ni Kweli Na Wala Sio Hadithi Ya Kutunga , Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Ahsanteni Sana!