Nakopesha bila riba

Nakopesha bila riba

kwest

New Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
3
Reaction score
0
kuanzia laki2 mpaka 2million...ndo mkopo tunaotoa kwa maelezo zaid 0653680830.
 
Acha mambo ya ajabu wewe utafanyaje biashara bila faida? Hapo hapo hakuna maelezo yoyote kama vile masharti ya mkopo, mahali unakopatikana n.k. Acha kupima watu akili wewe kwest kama unajua huwezi kufanya hivyo. Wewe unabipu ili uone kama kuna wanaotaka.
 
Last edited by a moderator:
Mbona taarifa hazijakamilika funguka masharti ya mkopo yapoje,ofisi ilipo n.k

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona taarifa hazijakamilika funguka masharti ya mkopo yapoje,ofisi ilipo n.k

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

ofisi ipo mfukoni ukilemaa unapewa kesi ngastuka!
 
Hahahaha,kuna watu jana walitaka kutoa wazo la biashara jamaa anunue.
Sasa hapa najua wataku Pm na kukupigia muda sio mrefu.Maana kwa pesa za namna hiyo huwakosi
Ila ungewafamisha kwa umekuja lini kutoka Mombasa?
 
mwache mwenzako afanye biashara, au umelewa kashata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom