card78 Member Joined Sep 22, 2018 Posts 49 Reaction score 48 Apr 4, 2022 #1 Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero? Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka kwenye firm
Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero? Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka kwenye firm
zado-blue Member Joined Apr 2, 2022 Posts 77 Reaction score 67 Apr 4, 2022 #3 Aiseee linapokuja swala la mpunga
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,034 Apr 4, 2022 #4 card78 said: Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero? Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka kwenye firm Click to expand... Hao jamaa zako wamegoma kabisa kukueleza?
card78 said: Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero? Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka kwenye firm Click to expand... Hao jamaa zako wamegoma kabisa kukueleza?
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,112 Apr 4, 2022 #5 Ngariba1 said: Hao jamaa zako wamegoma kabisa kukueleza? Click to expand... Hao jamaa zake wawili naona hawana ushirikiano.
Ngariba1 said: Hao jamaa zako wamegoma kabisa kukueleza? Click to expand... Hao jamaa zake wawili naona hawana ushirikiano.