Nakodisha VITI & TURUBAI

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wanaJF,

Naomba sana mniunge mkono kwenye mradi huu wa kukodi popote upatapo Harusi, Misiba ama Shughuli yoyote.

Tupigie kupitia 0712-156565 na 0672-444447.

Bei zetu ni Tzs50,000 kwa Tent kwa siku na Tzs400 kwa kiti kwa siku.

Maongezi yapo kutegemea na idadi ya siku na usafiri tunatoa bure
 
Mkuu ningependa kujua gharaza za kununua/kutengeneza tent kama hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…