Nakodisha nguo za maharusi

hanti

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
83
Reaction score
10
Habari zenu wakuu, nakodisha na kushona magauni mazuri ya harusi ya kisasa na ya heshima ,natengeneza maua mazuri sana kwa ajili ya harusi, natengeneza vibanio vizuri vya nywele na pia nastyle nywele za bibi arusi zozote kama ni za dawa au natural. aliye tayari ani pm karibuni sana
 
unahitaji kipi mkuu kati ya nilivyotaja
 
Nahitaj gaun la harus..mnapatikana wap?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
ukitaka wasiliana nami kwa namba 0654864863
 
karibuni jamani mpate nguo nzuri za harusi,maua na vibanio vizuri sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…