Nakodisha Kinanda, Gitaa

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Kwa mlioko Arusha,

Nakodisha vyombo vya Muziki k.v. Kinanda, Gitaa Speaker na Drum. Pia kama una Harusi au Sherehe yoyote na ungehitaji Bendi au solo Performer (kinanda tu), tuwasiliane kwa namba 0719 063 544 (calls & text only).

Siku njema.
 
Back
Top Bottom