watu bwana,wameconcetrate hapo aliposema yeye handsome mnasahau kumpa ushauri...kwani kosa kuwa confident na looks zako????
mie nakushauri uwe unawaambia hao wadada mapema kuwa you are not ready to settle down,wajue terms and conditions za engagement na wewe! ili wasijiweke mazima...hata hivyo naamini una high standards ulizojiwekea ambazo ungependa mwanamke awe nazo....hao wote uliowapitia hajafikia hizo standards ukimpata aliyezifikia mwenyewe utasettle......au with time utaona kuwa labda hizo standards hazifikiki utaface reality na kuanza kucompromize na kuchukua standard za kawaida.