LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,431
- 12,292
Mtu mzima na akili zako unaombea na unadhani north korea anauwezo wa kumpiga us?
Alafu vijana wa jf sasa tunavyopenda ngono sasa mchana tunamshabikia North korea alafu usiku tukiugua gonjwa lile tunakimbilia kwa US atupe ARV za bure
Umelalia neti ya msaada hapo hadi dawa za Tb Huyo huyo Us unataka akupe bure
Misaada huyohuyo US
Alafu mnapayuka tu .
Hebu tuache unafiki basi
Mjapani huwa anatupiga tafu sana hapa tz kwenye maswala ya miundombinu hata misaada wapo mstari wa mbele
South korea nae pia anatupiga tafu sana kwenye maendeleo na kuna wengine hapa ni mashahidi mmesomea kwenye madarasa yalee ya koica walijenga karibia nnchi nzima