concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Sio lazima kiwango chore ila willing yakoAisee nimekosa tu hyo M20
Sio lazima kiwango chore ila willing yako
Tunaweza angalia kiwango Cha kugawana kulingana na utachocontribu karibuAisee nimekosa tu hyo M20
Mozambique mengine nitafute pmSawa, ni nchi gani?
Mozambique mengine nitafute pm
Nikiweka Million 5 itafaa tufanye kazi?
Sio lazima ahusike moja kwa moja ila ili kujenga uaminifu, maana kwa jinsi hali ilivyo ngumu mtu akupe kiwango hicho Cha pesa ukafanyie nchi nyingine ngumu sana.Nafikiri concordile 101 angeweza kuweka hili jambo kwa mtindo wa hisa. Ikiwa mahitaji yake ni 30M au 20M akapata watu kadhaa wakachangia hicho kiasi mgawanyo wa mapato ukafuata kiasi cha kila mtu alivyochangia.
Lakini ni lazima mwekezaji ahusike moja kwa moja hadi imlazimu kuwa na passport?
Wazo zuri
Mahitaji ni kuanzia mil 10 hii yako ni nyingi Sana bosi ila itahitaji tuingize watu wengine ambao baadae Kama unavyojua tuko tofauti hatuchelewi gombana bosi. Lakin unaweza nicheck tukaangalia jinsi ya kufanyaNikiweka Million 5 itafaa tufanye kazi?
Si lazima ahusike moja kwa moja ila walau inatakiwa kabla ya makubaliano walau atembelee sehem husika ili kuondoa sintofaham pia walau awe na uwezo wa kutembelea at least Mara moja kila baada ya miezi miwiliNafikiri concordile 101 angeweza kuweka hili jambo kwa mtindo wa hisa. Ikiwa mahitaji yake ni 30M au 20M akapata watu kadhaa wakachangia hicho kiasi mgawanyo wa mapato ukafuata kiasi cha kila mtu alivyochangia.
Lakini ni lazima mwekezaji ahusike moja kwa moja hadi imlazimu kuwa na passport?
Wazo zuri
Mkuu,umeleta fursa kubwa sana,Changamoto iko kwenye mechanism hasa kwa kuzingatia mfumo wetu wa kiuchumi.Kwa wazo lako nafikiri unapaswa kufanya vitu viwili.Anzisha biashara hapa Tanzania Kisha sasa muingie Ubia/Hisa ambazo ndizo zitakuwa ni Pesa za kwenda kuwekeza huko nje.Mnapoedna huko Nje mnaenda kama watumishi wa kampuni/au wawekezaji kwa kuzingatia sheria za huko.Kwa kweli kama uko serious na hili wazo lako basi ni project kubwa sana ila ana kuishauri iweke rasmi kabisa.Kama utakuwa interested zaidi kufahamu namna bora ya kufanya hili basi tuwasiliane DM.All in All nakupa pongezi kubwa sana kwa kuwa na fikra kubwa.Kila la heriSio lazima ahusike moja kwa moja ila ili kujenga uaminifu, maana kwa jinsi hali ilivyo ngumu mtu akupe kiwango hicho Cha pesa ukafanyie nchi nyingine ngumu sana.
Mahitaji ni hicho kiwango au 10mil kwa hisa za asilimia 30 inawezekanika.
Au Kama mtu anaweza ingia mkataba letsay akatoa 10mil akabaki na copy ya aasset moja wapo ya zangu huku tz. Within a couple of labda baada ya miezi miwili tukakubaliana amount ambayo nakuwa Nampa ndan ya mwaka niwe nimemmalizia pamoja na interest yake.
Kitu Cha muhimu nahitaji kuraise capital maana Kuna potential nimeiona natakiwa niichangamkie fasta