Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

faraja mgaya

Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
9
Reaction score
4
Jamani habari za jioni, Mimi ninasumbuliwa na tatizo la mapigo ya moyo kwenda mbio, ambapo tatizo hili lilinianza ghafra na lipo kwa muda wa miaka miwili mpaka Sasa.

Mapigo ya moyo haya mwanzoni, yalikua yanapelekea kuchanganyikiwa kichwani na nilikuwa siwezi kulala Wala kutulia Bali kutembea tembea, na nilikuwa nalala pale tu nikinywa dawa za usingizi, lakini Hali hii inapungua taratibu mpaka Sasa nimeenda kutibiwa hospitalini na wamesema moyo hauna tatizo lolote.

Ila wanasema Nina bakteria wa vidonda vya tumbo H pylori na baadae wakasema Nina Thyroid profile 150.
Then, doctor kanipa dawa za kupunguza na kutuliza mapigo ambazo ni propranolol pamoja na dawa za tumbo aina ya LCT KIT

na nimepima pressure ipo 117/79, lakini Hali hii ilinikuta nakua mtu wa kuogopa na wasisi nyingi pamoja na hofu kubwa, Hali hii imepelekea Mimi kujitenga na watu nakutokaa nao kwa muda mrefu.


Hivo,samahani doctor pamoja na wenzangu naomba ushauri wenu wa kitaalamu pamoja namna yakuweza kukabiliana na haya matatizo.


Ahsanten.

Mawasiliano;0753816036
 
Back
Top Bottom