Nakaribia kuoa ushauri tafadhali


Umesema vema, nkitaka kuoa ningependa kusoma na kukumbuka kauli hii....

My dada kipenzi
 
Mkuu, mengi yamesemwa ila kumbuka wazazi wako pia walio kusaidia kukufikisha hapo ulipo.

Ndoa ni agano tafatifu, jaribu kuwa mtakatifu kabla ya kuingia huko.

Kila la kheri mkuuu...
 
HONGERA.....ila ujue unaenda kumilikiwa,,, uwe mvumilivu.....uhuru wako , maisha yako.....
 
Hongera sana kaka kwanza muheshimu mkeo pili kubaki njia kuu ndo mpango mzima ukichepuka tu. Utaona ndoa chungu.
Nategemea kadi Ya mwaliko Wa harusi yako ili nije nikushaur vizur.

Sawa mkuu usicheze mbali
 

Dah pole kwa mkasa uliokupata nategemea kwangu itakuwa tofauti Mungu anisaidie..
 
Je kama alimpata kwenye Pombe? Kuna mdada nliachana nae Sept nae anaolewa tar 8 ya kwako ni wapi mkuu ili nikupe ushauri vzr.

Hapana sinywi kilevi chocho wala sivuti hata sigara na yeye ni hivyo hivyo
 
Mkuu, mengi yamesemwa ila kumbuka wazazi wako pia walio kusaidia kukufikisha hapo ulipo.

Ndoa ni agano tafatifu, jaribu kuwa mtakatifu kabla ya kuingia huko.

Kila la kheri mkuuu...

Ahsante mkuu
 
Ndoa raha sana,
Mkipendana kwa dhati,
Mkisikilizana,
Mkishauriana,
Mkijuana tabia,

Pendelea kusema ahsante hata akikubusu,
Ukiona hana raha mfariji na kama umemkosea wahi kusema samahani inayotoka ndani ya moyo wako,

Ndoa ni nzuri, coz ni maisha kama maisha uliyokua unaishi na dada au kaka zako,
Utani, ucheshi, kuelimishana, kuchokozana, kudekezana n.k

Kila la kheir katika safari yako ingine ya maisha.

By the way hakuna kadi ya mwaliko jamani.
 

Shukrani kwa nasaha zako kuhusu kadi ondoa shaka
 
Dah pole kwa mkasa uliokupata nategemea kwangu itakuwa tofauti Mungu anisaidie..

Mkasa haukunipata mimi Bali ulimpata mdogo wangu kitinda mimba wa mama yetu. Mungu akuongoze Aisee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…