Najutia kublock mpenzi wangu Fb

Lkn watu wanadhangaza isue inahusu fb ww unaleta jf

Acheni umbulula uhasama wenu wa chadema na ccm usidhani uko mpaka kwenye mitandao ya kijamii,yote hii ni mitandao ya kijamii sasa shida iko wapi ?
 
Nafikiri JF ina wigo mpana sana,haichagui unatatizo la fb au lolote aliyeuliza anataka kujua kama ungekuwa unajibu ungemjibu na sio kumtolea maneno yasio na msingi
 
Pole povu linakutoka sn cjui ni ke ama me inaonyesha ww kama hujaelewa somo la hesabu akiingia wa kiswahili unamuuliza kisa ni mwalim?????
 
Ukim-unfriend rafiki,badae unaweza kum-add/unblock na akawa rafiki yako tena.ila ukim-block haiwezekani kumrudisha na hata ukim-seach kwa kutumia akaunti uliyotumia kumblock hutamuona.NJIA NI MOJA TU,FUNGUA PROFILE MPYA.ila pia inaonekana wewe unatatizo kubwa litaku-cost sana kwenye mahusiano.
 

Hamna haja ya kufungua profile mpya,aisee kwenye setting & privancy,then block,hapo ataona list ya watu alioblock na achague jina LA aliyemblock na kunblock,then itabidi amtumie tena friend request maana ukimblock MTU unakiwa ushamunfriend
 
Duh! Kumbe mamburula mpo wengi hivi?
 
Uyo mmiliki wa JF ana FB account ,sasa wew member tu humu unajifanya kuongea sana!
 
Fungua profile yako.kisha chini kabisa utakuta settings & privacy ipe ok.ikifunguka utaona unblocking ipe ok.utaona jina lake utaunblock.thanx

Thanks alot,nimekuwa busy sana na mjamiii forum,kias kwamba fb Nashindwa kuitumia,lakini nikushuru sana nimeweza,nikuru wewe ulienisaodia,nimemaliza mimesha weza!!
 
Kuuliza buku kuelekezwa jero. cc joti aka Mzee mwalubadu
 
Last edited by a moderator:
 

Mambo ya Fb na huku ni different jurisdiction,waulize wenzio huko huko fb..au kama vipi mblock moja kwa moja moyoni
 
 
Hoyaa Ngurubhe,
Kwanza achana na hawa watu wanaojifanya kuiponda Facebook manake wengi wao kama sio wote bado hawafahamu umuhimu wa FB... in short sio wajasiriamali na wala sio miongoni mwa wale wanaouza skills zao kwa wenye uhitaji! Leo hii nikilazimishwa niwe blocked kati ya JF au Facebook, nitakuwa tayari kuwa blocked JamiiForums na bado maisha yangu yataenda bila matatizo lakini nikiwa blocked Facebook kwangu itakuwa majanga!

Back to the topic! Ukitaka kum-unblock mtu, kwenye page yako juu kulia kuna hiyo icon ya dunia... kulia mwa hiyo icon kuna icon ya kufuli ambapo kulia kwako utaona sehemu ya ku-down scroll. Click hiyo down scroll option kisha lick setting. UKisha-click setting, nenda kushoto kabisa mwa page yako utakuta options tofauti tofauti... huko Click option ya Blocking. UKisha-click, utapata options zingine kibao, wewe utachagua second option "Block Users." Hapo utakuta raia wote ambao ume-block ambapo pembeni ya majina yao utakuta "Unblock" option.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…