miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Hahahahahaah..Mkuu laki sita tu unalia hivi?
Alafu sio busara kwa mwanaume kunyang'anya vitu mnapoachana.
Afu be serious bana....wewe laki sita unalia hivi je wanaohonga wilaya?
cc miss chagga
tungekutana na tanzia
Haahahahahahahah...ni kweli kabisa....
Afu hater kwani ukihonga ndio unaiwekea password papuchi?
Afu hater papuchi haiiishi...na wala haisomi speedometer.....kizuri changia/kula na wenzio....
hater hapo sasa ingekuwa lamba lamba tungesema inaisha ila ipo vile vile leo na kesho na mpaka mwisho amina
Mkuki kwa nguruwe ati? Lini nyie mliridhika? Muosha huoshwa
Hahahahahah eti kama mafisadi.. Mbna nyny hamrdhk? Tena nyie ndo mnatufanya na ss tuchepuke
sie tunachepuka kwa sababu mkishaekwa ndani basi ikifika muda wa kupewa tunda sababu kibao, nikitaka BJ unasema umechoka wakati wa mwanzo, mbuzi kagoma, kuku wa kubanika aka fried chicken ulikuwa unanipa, mikao yote, ukifika ndani unataka kifo cha mende tu, na mie nafsi yangu isuuzike ninaamua nitafute wa pembeni atakayenipa mikao yote, kwangu mie hilo tu, lakini kama nitapewa mkao wowote ninaotaka mie kabla sijakuweka ndani ulivyokuwa unanipa haina shida nitaganda na wewe, lakini mkishawekwa ndani mnakuwa vichwa ngumu
Sasa si uombe upewe hiyo mikao?? We unataka kila siku km chakula y usipewe sababu?
Basi na sie tunachepuka kwenda kupata mitwangio imara na huduma bora zaidi, teh
We hujuiNilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000.
Nimekaa naye kama miezi 4 hivi sasa nikila vitu. Juzi nimegundua kuna jamaa anatembea na msichana wangu. Nimeumia sana,nilimkamata kwa text, na akakiri ni boyfriend wake wa zamani lakini akaniahidi kutorudia kwamba ilitokea bahati mabya.
Sijaamini hasa sikuwahi kuhonga msichana zaidi ya sh 10,000 sasa hiyo laki 6 inaniuma sana. Leo kaaga anasafiri lakini hata simu hapokei. Anatuma text tu,hivi sasa ninavyoandika najua yumo analiwa na huyo jamaa. Nimepanga kumnyanganya simu.
Au nifanyeje wanaume wenzangu nipeni ushauri
na kutoa kabang na akishamaliza jamaa anakutangaza kuwa aah yule atoto mambo yetu yanapatikana, tayari heshima isharudi, na ndio maana watoaji kabang wanajulikana kwani mwanaume akitoka hapo hukutangaza kwa rafiki zake, so unaanza kuwa marketable kwa muda huo kwani wengi watakufata kwani ushatangaziwa biashara, chepuka kisha toa hayo mambo uone soko lako litakavyokuwa juu,
kila siku ni haki ndio kwanini uninyime, kwani imeumbwa nini kama shughuli yake sio hiyo, ninaomba sana hiyo mikao ninanyimwa napewa kifo cha mende, umeambiwa mie mzee mpaka nipewe kifo cha mende, na mbaya zaidi hiyo kifo cha mende unakuta hata kiuno hakizunguki nahangaika peke yangu, kwanini nisichepuke nikapate kitu roho inapenda
Uwiiiiii shindwaaa!! Kabang tena!! Hell noooooooo
Pole sana mkuu. Unamnunulia mwanamke asiye mke wako simu ya 650,000? Ulijua uko mwenyewe eehh!! Ama kweli wajinga ndio waliwao!
mkuu ndo umehamia huku?