Najuta, huyu binti anataka kunifunga

Kaka sio kila maali unapoenda tuu were unakutanisha ivyo " vikojoleo ". Aya sasa pambana nadola kwanza
 
Kwa kuwa ulimruhusu shetani akupitie jiandae na maisha ya jela,
 
Wenzio tukisema hatudate vilate teens na vianafunzi unadhani hatuna akili?
Sishughuliki na mwanamke yeyote alie shule au mwenye miaka fulani ambayo ni umri wa sekondari kwenda chini, hata kama nimemshuhudia akimaliza form six.
 
mkome kuchepuka. we una mkeo tamaa ya nini? nenda kanyee debe.
 
shetan alikupitia ili muende wapi?
 
Hahaha
Hapo shetani hasahau hata kidogo mkuu

Nashangaa huyu shetani aliweza kupitia jamaa akadondoka na binti wa watu, cha ajabu watu huwa hawasemi au kuomba ushauri wakati shetani anawadanganya, wanakuja kuleta hizo habari wakati mambo yameshaharibika. Basi huyo huyo shetani atawapitia watu wasione kosa lake.
 
Kuna kesi zingine shetani atakuwa anazikataa tu maana hakuna namna sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…