Najua utabisha, lakini huu ndio ukweli

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mwanaume wa ukweli hategwi na Shape wala lips, anategwa na real love na appreciation even for little things. Mwanamke wa maana hategwi na zawadi, ice cream, jeans mpya, wala vipedo, au lifti ya gari yenye rim kali, anategwa na real man mwenye akili iliyopevuka na moyo wa kifamilia na upendo wa kweli.

Kama akili yako ni fupi kama utumbo wa funza endelea kuwaza kimwili na kupoteza hela zako na advataiz za kupeleka firigisi kila siku,lakini kama nia yako ni kuwa na good family think outside the box. Mwanamke akikupenda hata ukiwa na bodaboda yeye anaona unamiliki Hammer...
 
kweli mkuu kosea kujenga utabomoa usikosee kuoa au kuolewa utajuta. ukioa kisa mtu ana lips na figure nzuri ndo utajua ndoa si matarumbeta wala vigelegele
 
Hivi hamuwezi kutoa topic bila kumkejeli funza. Inaniuma sana
 
Na hivi watz hatuupendi ukweli tunaona matarumbeta na vigelegele ndo mapenzi lakini huo ndo ukweli mtupu.
 
Reactions: THT
kweli mkuu kosea kujenga utabomoa usikosee kuoa au kuolewa utajuta. ukioa kisa mtu ana lips na figure nzuri ndo utajua ndoa si matarumbeta wala vigelegele
Ukikosea kujenga unabomoa...Ukikosea kupanda unarudia msimu...na ukikosea kuoa unatalakisha.....Mkuu kila tatizo linakuja na jibu lake.
 
Upo sahihi. Lkn kwa nn mtu anakupenda? Lazima kuna kikichomvutia. Wanawake wanapenda pesa na mwanaume anapenda mwanamke mwenye mvuto.
 
Upo sahihi. Lkn kwa nn mtu anakupenda? Lazima kuna kikichomvutia. Wanawake wanapenda pesa na mwanaume anapenda mwanamke mwenye mvuto.
Ndio maana akasema kuna mwanaume wa kweli na mwanamke wa kweli hivyo hapo ni gheresha tu
 
Hujakosea mkuu ila ukikuta real man au real woman pia ana shape,hips au yuko vzr kiuchumi inanoga zaidi.ww kuwa real man kwa vigezo vyako halafu masikini hohehahe.trust me utaambulia manyoya tu
 
Ukikosea kujenga unabomoa...Ukikosea kupanda unarudia msimu...na ukikosea kuoa unatalakisha.....Mkuu kila tatizo linakuja na jibu lake.
Labda ndoa za kiislam, Kosea ndoa za kikristu uone moto ndiyo maana halisi ya pingu za maisha, ni mpaka kifo kikutenganishe. Ukitoa talaka ukaoa mwingine Mungu hajui hilo anakuona mzinzi tu wa kawaida.
 
kweli mkuu kosea kujenga utabomoa usikosee kuoa au kuolewa utajuta. ukioa kisa mtu ana lips na figure nzuri ndo utajua ndoa si matarumbeta wala vigelegele
Aisee, Umeongea Points tupu, Salute Mummy
 
Reactions: THT
Labda ndoa za kiislam, Kosea ndoa za kikristu uone moto ndiyo maana halisi ya pingu za maisha, ni mpaka kifo kikutenganishe. Ukitoa talaka ukaoa mwingine Mungu hajui hilo anakuona mzinzi tu wa kawaida.
Kwahiyo hizi talaza tunazoshudia ni za kiislam zote eeh???....Tofauti na uzinzi huna dhambi nyingine???...Yesu alisema ''Mtu asimwache mke wake isipokuwa sababu ya uasherati'' Yesu alitoa sababu moja ''Uasherati/kuchepuka'' ambayo inaweza kutoa talaka...sasa siku hizi wanasema hakuna kutoa talaka kabisa...Tatizo la wakristo wa leo ni kuigiza kuwa watakatifu kuliko Yesu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…