mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,693
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.
Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.
Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.
Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.
Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.
Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.
Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.
Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.
Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.
Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Ubrazameni unalipa mtu anakupa heshima hata kama hakujui.Kwa kweli kua brazameni kuna raha yake,umeongea point sana boss kwenye huu uzi
Bora nitembee mtupu mzazi kuliko kuvaa mdoshoBila picha huu uzi hauna maana usikute Mvaa midosho tu.
Mi mgumu, ubrazaneni siuwezi bhana
Kwa kweli kua brazameni kuna raha yake,umeongea point sana boss kwenye huu uzi
Nizingue tuNipite kimya ama nikuzingue?
Tako limeongezeka Mara dufu, amekodi torori na msukumaji wake, wanalipakia tako tororiniBible GiLeSi mtikisiko hajambo?
Tako limepungua?
Naona unapima levels sio, mimi sio millionea ila nashukuru Mungu kanijalia naishi ndoto zangu yani kila nachoitaji nakipata i mean kila nachoitaji siongopi.Weka bank statement *****.
Bila stable income brazamen is equal or greater to kaben10.
Pamba kali my ass.
Brazameni tulia.Naona unapima levels sio, mimi sio millionea ila nashukuru Mungu kanijalia naishi ndoto zangu yani kila nachoitaji nakipata i mean kila nachoitaji siongopi.
Pole, you sound like mabrazameni wamekutenda sana... Ukiona hivyo tafuta wa type zako ndio majaliwa yako.
PoleeeBrazameni tulia.
Kelele nyingi kisa Balimi za mwisho wa mwezi.
🤣🤣 Ndoto za ku achieve bila a million Tsh ni kazi sana.
Midosho ni nini?Bila picha huu uzi hauna maana usikute Mvaa midosho tu.