Kama huna uzembe, dharau, wivu, hasira na chuki basi shukuru Mungu yawezekana unafurahia maisha kuliko watu wengi duniani. Mambo hayo huwatesa watu wengi.Kwa sehemu kûbwa umepatia. Ila kipengele cha Malezi Hapo nimelelewa kwèñye familia ya kisabato kikamilifu. Mizaha, matani, masikhara, ushabiki NI mambo àmbayo hayakuwepo.
Mimi ni introvert na mûda mwingine NI Extrovert.
Mimi tangu nikiwa Mtoto sijui Kwa nini siumizwi na maonî ya Watu Wengine kunihusu Mimi.
Kwa mfano, Mimi siwezi kuchukia Waislam Kwa sababu Mimi NI Mkristo ingawaje nililelewa kwèñye mazîngira ya kuchukia Watu wa Dini zingine.
Au darasani Mtu akiwa Mpiga kelele Wengine wakiwa wanamchukia Mimi huwaga sihisi hivyo Moyoni.
NI kwèli.Matusi hayatakiwi lakini
Naona una ruka ruka uzi utambae . Sawa
Unatuambia wewe R ewe una hulka za kizungu?
Kwamba wazungu hawaumii na wewe pia huumii, yaani hufanani na Waafrika😂😂😂😂😂
....
Kama huna uzembe, dharau, wivu, hasira na chuki basi shukuru Mungu yawezekana unafurahia maisha kuliko watu wengi duniani. Mambo hayo huwatesa watu wengi.
Inategemea sana jinsi mtu aliundwa ndani mwake, anavyojiona na kuona wengine. Hizo zote ni hisia na zinatokana na very complicated brain processes na wakati mwingine zipo influenced na mambo ya kiroho.Na Kwa nini Mtu awe na chuki, Hasira na wivu Kwa mambo ya Watu Wengine?
Hapa ndîo swali lilipo
Inategemea sana jinsi mtu aliundwa ndani mwake, anavyojiona na kuona wengine. Hizo zote ni hisia na zinatokana na very complicated brain processes na wakati mwingine zipo influenced na mambo ya kiroho.
Ukijuhisisha na mambo ya watu kuna uwezekano wa kujikuta kila jambo la watu linakuhusu na hapo ndipo masuala kama wivu yanapoanza.
Sure, mambo ya mtu yanakuwa mambo yako hata mke wa mtu pia!😃😃
Kwamba inafikia hatua maonî ya Watu yanakuwa maonî yako si ndîo
Sure, mambo ya mtu yanakuwa mambo yako hata mke wa mtu pia!
Wewe ndiye binadamu kamili, na unaishi kwa kiwango cha ukamilifu wako. Nasema hivi maana binadamu wengi tunaishi kwa maigizo/kuigiza...kutaka sifa si zako, kujifanya ujuaji, kuringa, kudeka na zaidi kutapeli..!