Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,844
- 90,300
- Thread starter
-
- #41
Ni wewe jinsi unavyojiona ndani mwako. Ni ishara ya utoshelevu wa ndani pia yawezekana ni ukomavu mkubwa lakini pia malezi. Umelelewa kwenye typical Swahili culture iliyojaa mzaha na mchangamano mkubwa na watu tangu utoto? Ni tabia za extroverts watu wasiojiangalia sana na wenye michangamano mikubwa na watu. Umezoea utani kutania na kutaniwa. Kwa ujumla hii ni personality nzuri sana inakupa urahisi wa kuishi na watu na kuwatawala pia kuwa na amani na watu hata kupendwa pia. Watu wa jinsi hii huonekana wenye bahati, huwa na marafiki wengi na huweza kuwa viongozi bila kuchoshwa au kuudhiwa na maoni anuai ya watu. Hongera kama upo hapo ila kuwa mwangalifu usiwe easygoing na insensitive kwa masuala ya msingi.
Sijakuuliza jinsi tunavyojitambulisha.Waafrika wengi wetu tumejitambulisha Kwa mambo ya kijinga
Mkuu hayo ni mamb yakidunia,binadam hatufanan japo wte tumeumbwa ila ishi katik njia ipasayo na vile ulivyo usijibase kwkujion labda upo sahih.binadam hatujakamilika
Nimekujibu most ya wazungu niliokutana nao hawaumizwi na maonî yetu Kwao.Sijakuuliza jinsi tunavyojitambulisha.
Nimekuuliza....
Ni nani amekudanganya kwamba wazungu hawaumii na maoni ya Waafrika?
Kwa faîda ya Nani?Ama wewe ndiye unataka kutudanganya hapa?
Kuwa ma emotions haimaanishi kwamba ndîo MTU ataumizwa na maonî ya Wengine.Unasema wazungu hawaumii. Na tafsiri yake kuwa hawana Emotions? Watibeli?
Inategemea na mazingira na malezi ...Kuna mtu hata umwambie lipi Yuko positive ila kuna mwingine mtagombana,kwa hio hata ukiongea na watu jifunze kubadilika kulingana na mazingira na hali
Kuna mwingine hata kutofautiana mawazo tu kwake ni jambo la kuumizaMtu positive automatically lazima awe flexible kuendana na mazîngira
Kama??Nimekujibu most ya wazungu niliokutana nao hawaumizwi na maonî yetu Kwao.
Mifano Ipo mingi.
Mimi sionagi shida mtu akiniita Mjinga, akiniona hamnazo, akiniita hata majina ya namna yoyote Ile. Kwangu sioni shida.
Kama??
Tutajie hiyo mifano basi nasi tuelimike.
Zingatia haya ulioyasema
Kuna mwingine hata kutofautiana mawazo tu kwake ni jambo la kuumiza
Tutajuaje kuwa haumizwi?Kwema Wakuu!
Kuna mambo yananishangazaga sana. Mpaka wakati mwingine najiuliza kwa NINI ipo hivyo.
Mimi ninatabia sijui niite ya ajabu au ya namna gani. Iko hivi;
Mimi sionagi shida mtu akiniita Mjinga, akiniona hamnazo, akiniita hata majina ya namna yoyote Ile. Kwangu sioni shida.
Yaani Maoni ya mtu mwingine au mitazamo ya mtu mwingine kunihusu Mimi sijajua kwa NINI hainiumizi.
Ila Mimi nikitoa maoni yangu kwa watu wengi. Yaani vile ninavyowaona au hata nikiwatania wengi huumia, huona kama ninawadharau, yaani ni kwamba wanajali.
Huwaga najiuliza kwa nini watu hujali na kuumizwa na maoni ya watu wengine.
Yaani mfano Mimi nikuone huna Akili Ati na wewe unaumia ILHALI unajijua unaakili. Hiyo inasababishwa na nini?
Mbona Mimi siumii?
Tabia yangu hiyo ilinifanya nisiwe na majina ya utani. Ila majina ninayojipa ndio yanashika na watu huyatumia.
Lakini pia ninakitu sijui ni karama, nikimtamkia mtu jina mtaani linashika na watu wanalitumia kumuita mtu kwa jina hilo. Hiyo inasababishwa na nini?
Karibuni wakulungwa
Tutajuaje kuwa haumizwi?
Sikupingi ila Kuna vitu kama hali mfano unaweza wasilisha jambo kiutani tu ila kwasababu umegusa familia ambapo alifiwa au aliachwa ni kama unamrudisha nyuma so kuchukiwa ni nje,ila yote ni tisa Hujazaliwa kupendeza kila mtu na unapokosolewa ndio unajijenga zaidi kuliko kusifiwa sifiwaMtu positive automatically lazima awe flexible kuendana na mazîngira
Sikupingi ila Kuna vitu kama hali mfano unaweza wasilisha jambo kiutani tu ila kwasababu umegusa familia ambapo alifiwa au aliachwa ni kama unamrudisha nyuma so kuchukiwa ni nje,ila yote ni tisa Hujazaliwa kupendeza kila mtu na unapokosolewa ndio unajijenga zaidi kuliko kusifiwa sifiwa
Sio wewe hata mimi nimeshindwa kuyaishi mawazo yawatu wanavyo nifikiria.
Sijajua matusi yana muumiza vipi mtu! Lakini baada yakufanya uchunguzi nilibaini kwamba 99% ya binadamu huishi ndani ya mawazo yawatu.
Mawazo hayo baadhi huungana nakua utamaduni au mtazamo wa jamii husika.
Hivyo mtu hujitahidi kuendana naule mtazamo tuu ila kiuhalisia vitu hivyo havipo na havina athari yoyote zaidi ya mchezo wa akili hapo.
Matusi hayatakiwi lakiniNajiuliza why watu waumie na maoni ya mtu mwingine. Hicho ndicho najiulizaga
Kule juu nyinyi ndio wanawaita king makers mnaotumwa kuwapaka watu mafuta wawe wafalme, muite mtu tajiri mkazanie hivyo hivyo halafu mpe mawazo ya kitajiri within few years utakua umetengenezewa matajiri wengi sanaLakini pia ninakitu sijui ni karama, nikimtamkia mtu jina mtaani linashika na watu wanalitumia kumuita mtu kwa jina hilo. Hiyo inasababishwa na nini?