Najiuliza tu jamani

Huwezi pata jibu hapa ukweli anao huyo mkeo kwamba aliweza au hakuweza.
 
Hakuna kitu kama hicho,kizazi kilichoweza kuvumilia kwa muda mrefu kilitoweka toka karne ya 19/20
Hii karne ya 21 sahau ,atakwambia amekaa mwaka mzima bila kupekechwa,kumbe alishaliwa kimasihara na zero IQ kwa sahani ya chipsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapambano ya Hoja kuelekea Uchumi wa Kati Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mwana ni mpuuzi sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana huu ujinga wako ulioandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…