Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Nimeona nililete hili tujadili kwa pamoja kuhusu upinzani nchini tanzania.
RICHMOND iliwapa kiki wapinzani kwa miaka 7 wakimshutumu mheshimiwa lowassa ni fisadi papa.
Dr slaa, mboe, mnyika, Tundu lissu, msigwa, lema na wengine wengi hii ni karata iliyowapaisha sana mpaka jamii kuamini kweli hawa ndio wakombozi halisi.
Gafla Waka change gia angani kwamba Mwenye ushahidi wa lowassa ni fisadi wampeleke court. Kifupi walimkaribisha na kuwa mshirika wao.
Swali, je? Ikitokea watuhumiwa wa ESCROW, EPA, KAGODA, MEREMETA wakajiunga na kambi yao nini itakua kiki yao tena? Kwa kua kubadilisha gia angani ni jadi yao!
Au ndo utakua mwisho wa upinzani?
Naamini atabaki ZITO KABWE Peke yake.
Badilikeni namna ya kuendesha siasa. Kutegemea scandals utawala wa Magufuli itakula kwenu.