Najiuliza haya maswali kuhusu Nyoka!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,738
Wataalamu naomba kufahamu haya kuhusu huyu mnyama Nyoka.
>Hivi Sumu ya Nyoka Inakaa sehemu gani katika mwili wake.
>Kama mate yake ndio ile sumu mbona yeye mwenyewe Haimdhuru
>Je Ikitokea Nyoka akala chakula chenye sumu yake mwenyewe au sumu ya aina yeyote Itamletea Madhara?
>
 
KAAAA!!

Mkuu si ungesubiri kuche!!!

yaani mipicha hiyo...... nimelazimika kuwasha taa!!;

I hate those creatures!!!!!
 
I wish i didnt read this!

Jibu la swali namba moja si umelijibu katika swali namba mbili?.Namba mbili umesema mate, Je hujui mate yapo sehemu gani/ipi katika nyoka?.

Je unajua kuwa mate yako ni sumu pia kwa nyoka?.Naomba ujiulize, ni kwanini mate yetu hayatudhuru.Ukipata jibu basi utajua kwanini mate ya nyoka hayamdhuru nyoka.

Sumu ya nyoka haiwezi kumletea nyoka madhara ya aina yeyote ile.Sumu nyingine inaweza kumletea madhara.

Asalaam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…