Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

Jamaa umekosea sana kutuma picha humu...sio FB huku, huku JF sisi ni mahandsome na warembo kupitiliza, huku wengi wetu n wanajeshi kwenye vitengo vikubwa, huku wengi wetu n watu wa intelijensia, sis wakuu wa JF n wafanyabiashara tunaopata exposure ya kusafir sehem mbalimbali za dunia-sas kupiga picha ilhal una magunia ya dagaa wa Mwanza nyuma ya picha lazma usiwe sehemu yetu(Kuna baadh watakuchek PM ucjal) ...huku sis tunamilik magar makal na kingine kikubwa tunajua kila kitu !! Hahhhaha waambie wenzio wanaotaka kuja huku wastume picha kama ww !! Jion njema na karibu sana MKUU MWENZETU !!
 
I second you alafu unakutaa na wanaume wanashabikiaa mwanaume mwenzao kusemaa yaan wanaume wa jf jaman nimewashindwaaa .....
Dadangu nadhani ushakomaa na naamin tayar una ngozi ya ukomavu.

Sasa hata sisi wanaume basi tu ile tumelelewa tofauti,kutojitambua na kutokomaa basi vile ndo watu anaishia kujiona yeye ni bora kuliko.

Ni hakuna namna wakija jielewa ndo ile mungu huleta karma hata kwa vizazi vyao.

Yaani ndo hivo ni kuishi nao tu ivo ivo sote ni binadamu
 
Umeumia sana eeeh
Wala sina interest na mamodo wala wenye rangi ya jamaa
Nimezoea black mamba.
Na ni kufurahisha genge tu.

Hasa baada ya binti yangu kugusia jamaa alivyoweka mdomo wake.

Pole sana.
Hasante!
 
Ili utambulisho ukamilike ongeza picha 4..mbili za mwili mzima mbili za nusu kiwiliwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom