Ndugu,tumepitia hayo maisha kwa kiwango kikubwa,kiufupi swala kua na mtu wa kweli katika maisha yako ni mpango wa Mungu,mala zote ukiamua kua na mtu kwa msukumo tu wa fikla zako utajikuta unaangukia pua,achana navyo pambana na maisha mengine ya kutafuta pesa kwa maisha ya baadae,omba Mungu akupe nguvu ya nafsi kushinda matamanio,utaona siku moja Mungu atakuletea mke bila akili yako kukutuma na akishakuja utasikia nafsi yako inakusemesha juu ya huyo mtu kua ndio mke wa kweli,kimsingi ndugu yangu Mungu aliweka uwezo ndani yetu wa kujua chema na kibaya pindi kinapotokea,la msingi ni kua na hekima ya kuchambua,ni mawazo yangu lakini,Bless you!