Najisikia Njaa!!!!!!!!!!!!!

Mama ntilie mchuzi wako sio mtamu

tatizo ulimi wako unavidonda ndomana mchuzi unaona c mtamu wenzio wamekomba sufuria lote mchuzi umekolea ndimu huo pilipili kwa mbaliiii
 
duh niambie kwanza jinsia
mhhhhhhhh........???????

miye ni mama ntilie niliyebobea mchuzi nikujazie jinsia yangu utaijua siku warsha au semina ya jf udaku itakapoandaliwa na moderators tutabambana hapo kwa mshangao wa kha!! kumbe wewe...lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…