Najisikia mpweke sana

Lazima usamehe ili Mungu akuinue....huwezi kufanikiwa kama una kinyongo moyoni kuhusu mtu
 
Hili ndo suluhisho la Tatzo lako:-
1.ishi maisha yako uliokuwa unaishi mwanzo_inawezekan sasaiv unaish sehem ambayo hakuwa mwanzo au una shughul ambayo sio uliokuw ukifanya mwanzo
2.jiunge na sehem ambazo zitakufanya uchanganyike na watu
3.fanya mazoezii sana
4.tenga muda wa kupumzisha akil yako au lala sana
5.jipende ww mwenyewe zaid ya unavyopenda wengine
6.fanya meditation
7.tembelea sehem tuliv km vile kwenye fukwe za bahar; maziwa; mito; ikibid Oga
8.jiweke karb na Mungu zaidi
9.Epuka kujilinganisha na watu au jiweke mbalii na vtu/watu wanakunyima raha (physic vampire)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…