Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ni kuomba tu isikutokee au hata ikikutokea basi unaomba Mungu akupitishe salama. Ndo maana unaweza ukasikia tu ghafla mtu fulani amejiua/ kajinyonga while nyie mlikuwa mnamuona yupo kawaida tu, but kumbe moyoni alikuwa analia Peke ake na alivyoona hakuna mtu anayesikia kilio chake ndo mnakuja kusikia fulani kanywa sumu. Ni Vitu vidogo ukiviongelea kwa story tu but vina madhara makubwa sanaMmh haya bwana, ni kuomba hii hali isitokee kumbe
Hunishindi mimi
Namimi najisikia kama huyo bwana what do i have to do my dear
Pole Hilo swala lilinitesaga mno yani, na bado naona linanitesa PIA hata kwa sasa
Kutaneni mbadilishane mawazo. U are the right person kumaliza shida yake
Sijajua sababu ni nini jamani ila najisikia mpweke kama nimeachwa na kla mtu vile.
Nisaidieni nifanye nini wadau
Asante Sana namaanisha kweli na ningependa kweli tukutane
Sijajua sababu ni nini jamani ila najisikia mpweke kama nimeachwa na kla mtu vile.
Nisaidieni nifanye nini wadau
sijajua sababu ni nini jamani ila najisikia mpweke kama nimeachwa na kla mtu vile.
Nisaidieni nifanye nini wadau
hii hali huwa inawatokea wengi tu cha kufanya keep busy kusoma vitabu ila sometimes unaweza kujikuta hukielewi unachokisoma we angalia movies(indian love stories) am sure upweke wako utapungua na utajihisi kama upo na bhumika chaula
pole,ndio ukubwa huo