Najisikia mpweke sana


Asante Mamitodi, naku pm sasa hvi jamani
 
jitie moyo upo na wanao kiunoni na ipo siku watatoka watakupa faraja ... pole bana
 
soma sana vitabu, vyovyote vile ukipata vya dini au vya kawaida, vitakufanya ufikirie zaidi na kukupa fikra mpya na bora zaidi
 
hii hali huwa inawatokea wengi tu cha kufanya keep busy kusoma vitabu ila sometimes unaweza kujikuta hukielewi unachokisoma we angalia movies(indian love stories) am sure upweke wako utapungua na utajihisi kama upo na bhumika chaula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…