64Bits JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 961 Reaction score 565 Jun 5, 2014 #21 Mlengeshe kwa rafiki yako aliye serious na maisha baada ya muda mfupi utajutia makosa yako
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,215 Reaction score 54,548 Jun 5, 2014 #22 Crimea said: Sajamuoa wala hatujawahi kukubaliana kuhusu kuoana. Click to expand... sasa si usepe
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,392 Reaction score 96,718 Jun 5, 2014 #23 Ruttashobolwa said: Ni kweli kabisa wewe ni mjinga. Click to expand... yani ni kweli kabisa jamaa ni jinga la majinga.
Ruttashobolwa said: Ni kweli kabisa wewe ni mjinga. Click to expand... yani ni kweli kabisa jamaa ni jinga la majinga.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Jun 5, 2014 #24 Halafu wanaume sijui huwa kinawakuta nini mie nashindwa kuwaelewa maana mtu anaweza akakubadilikia mpaka ukajishangaa mwenyewe
Halafu wanaume sijui huwa kinawakuta nini mie nashindwa kuwaelewa maana mtu anaweza akakubadilikia mpaka ukajishangaa mwenyewe
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,103 Reaction score 72,545 Jun 5, 2014 #25 Na siku akiwa kwa mwingine utampenda zaidiiii
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Jun 5, 2014 #26 Kaka tukusaidie kwa lipi,mbona unaleta mada za kitoto?ulimpenda au ulimtamani? Hujui kama nao wanaumia kama sisi tunavoumia?
Kaka tukusaidie kwa lipi,mbona unaleta mada za kitoto?ulimpenda au ulimtamani? Hujui kama nao wanaumia kama sisi tunavoumia?
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,262 Jun 5, 2014 #27 Matarajio yako kwake hayakutimia. Subconsciously hulijui hilo. Yawezekana binti ni baridi (hakusisimui). Fanya ufanyavyo muachane mapema. Ila akidhurika kwa ajili yako hatia itakuwa juu yako
Matarajio yako kwake hayakutimia. Subconsciously hulijui hilo. Yawezekana binti ni baridi (hakusisimui). Fanya ufanyavyo muachane mapema. Ila akidhurika kwa ajili yako hatia itakuwa juu yako