kuna waumini wako wanakuangalia na kukusoma hapa, plz keep this nonsense yourself plz
hakuna akli hapa wala fumbo iko so clear chadema wapuuzi wamechemka na wanaharibu move nzima ya ukombozi
ona matuhuma ya uzinzi, kupokea hela CCM, na kila takataka
plz kaa kimya kwanza bana, I hope is very common wisdom for man who led by Holy Spirit plz
Mkuu kama hiko unachokisema kipo ndani ya chadema, leo hii Mbowe asingekuwa mwanachama.
Na yeye huo ndo utashi wake mkuu,au aliyoyataja wewe hujawahi kusikika au kuona?Amekuambia hayo ndo maono yake! Na ndicho akiaminicho.
Kwa nini unamlazimisha amini yako wewe?! Shame on u!!
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???
Mkuu kama hiko unachokisema kipo ndani ya chadema, leo hii Mbowe asingekuwa mwanachama.
Bihagaze ona aibu
chadema ina katiba yake, kuwa kama mtu hataridhika na maamuzi ya kamati kuu , anakata rufaa baraza kuu ...yote within chadema
zitto kavuliwa uongozi na kuwa punished kabla hajasikilizwa
ndio jaji anasema "You can not jail him first and hear him later" - justice Utamwa
zitto akakata rufaa baraza kuu la chadema, rufaa ikapigwa teke, kisa asikilizwe kwanza na kikao kilichomhukumu
KATIBA HII WALIIWEKA WENYEWE NA WANAOIBOMOA NI WENYEWE
from no where cjui ndio uko rohoni unasema UNAWAKUBALI CHADEMA na usomi wako wote
acha hizo FOE member, tena ukae kimya umeishaharibu
kesi ile zitto alishinda kabla haijaanza kusikilizwa kwa tuliokuwa na akili zetu
sasa unaikubali kivipi huku iko so clear kuna matatizo ya uongozi
Nimekuelewa sana kwamba katika siku zooote leo ndo umeona uwakubali hawa jamaa. Baada ya mahakama kuwasaidia kusuluhisha migogoro ya ndani ndipo ukawakubali!.
Na pia baada ya kuthibitisha kiwango chao cha violence kufikia hatua ya polisi kusaidia kutuliza vurugu miongoni mwao pale nje ya HC ndio chanzo kikuu cha wewe kuwakubali sasa!
Na mimi leo nimekubali kwamba binadamu tuna mitazamo tofauti.
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.
Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.
Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .
Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
mkuu hawataki kuamini kama wanaangamia

Hujui ilishatokea baraza lilitaka kumshughulikia na ikawa bahati yake mwenyekiti alimwombea grace period kwa kudhani angejirudi na sasa imefikia mwisho kwani inaonekana hakuteleza bali alikusudia kuiua CDM kwa nini aachwe?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.
Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.
Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .
Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
Tanzania ni nchi moja yenye vijana wanaokimbilia siasa na sio kwamba wapo pale kuiokoa nchi wapo pale kwa matumbo yao.
Vijana wengi wa Tanzania wanapenda vya bure ndio maana wanagombea madaraka na kusafirisha unga.
Suluhisho Serikali iwakate kodi kubwa wanasiasa kwenye mapato yao yatokanayo na siasa(iwepo sheria).
Serikali kutumia usalama wa Taifa ifanye uchunguzi kuhusu wanaotajwa kwnye biashara haramu na waadhibiwe kwa mujibu wa sheria bila kuangalia huyu mtoto wa Kapuya au Kingunge(Usalama wa Taifa uundwe upya na wenye watu weledi na usiwe na watu kisa baba alikuwa alwatan au mwanachama mashuhuri wakati kijana hana weledi wowote).
Hitimisho
Eng pamoja na wenzio naomba sasa tuacheni kuipa siasa asilimia kubwa kwenye maisha yetu ipewe nafasi ndogo nazo kujua sera za vyama na kuenda kupiga kura.
"Umeme umepanda bei"[/QUOTE]
Mkuu, mawazo yako ni mazuri ila kuacha kuijadili siasa ni sawa na kuacha mambo yajiendeshe yenyewe na hiyo itakuwa ni hatari kubwa zaidi.
Hapo kwenye red mkuu, umeandika jambo muimu kati ya mambo muimu, ni kweli umeme umepanda tena zaidi ya kupanda bei alafu Watanzania tumenyamaza kimya. Kiukweli hii nchi haina uongozi na uongozi uliopo umeshindwa kabisa, na baadhi ya watu wanaofuraiya kuanguka kwa Chadema mi binafsi nawasikitikia kwa kuwa Chadema ndio chama pekee kilichokuwa kinaikumbusha nakuilazimisha hiii serekali ya CCM kututumikia na kuakikisha huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi na nafuu.
Tokea ZZK aivuruge Chadema tunaona umeme umepanda kwa 60% na watawala hawana hofu maana wanajua mdomo wa wananchi (CHADEMA) Upo bize ktk kushuulikia matatizo ya Zito.