Najihisi mjinga kukosa chuo

Pole sana ndugu hapo ni shida shida sana kupata chuo kuna dogo pcb anaushindi mzuri amekosa chuo , tukamshauli abadili kozi akaweka mpaka koz nyingine za science hadi IT pia wamemkataa sasa hivi anarudi kusoma diploma , huwa sipendi kumpa mtu habari mbaya lakini usikate tamaa sometimes miujiza hutokea , unahitaji kutumia akili sana katika kuchagua kozi pamoja na chuo.
 
vp awamu ya tatu hujaomba?

SUA ili chelewa kutoa majina ya round ya pili nikijua nta pata apo.Majina kutoka sipo afu huku tayari washa funga udahili kwa round ya tatu
 

mkuu nili zingatia yote ayo,niliona sina ufaulu mzuri sana nika ona ni jaze course zenye capacity kubwa na zilizo kuwa hazina ushindani lakini bado siku fanikiwa
 
Lakini ufaulu wa o level ulikuwaje kwa masomo kama hisabati,kiswahili na kiingereza ndugu!?
 
Hivi hii inakuwaje?
Wakati kuna HGL, HKL wana DDE na wamepata vyuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…