GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,114
Sasa mbona hujagawa booklets?
Jibu lake ndo hili Kama swali simple unashindwa kuchanganua unataka tukupe majibu umeze tu.. ndo mana nchi zetu hazina maendeleo
Bila shaka ni ukweli usiopingika, wahitimu wengi wa vyuo afrika kwa ujumla magonjwa yafuatayo yanawatafuna;
1. Kukariri
2. Kusoma kwaajili ya kuajiriwa
3. Kusoma kwaajili ya kufaulu vyuoni
4. Ukimuuliza swali lolote la kada aliyosomea atakwambia hiyo atukufundishwa
Kuna mmoja kahitimu chuo cha NIT mechanical engineering, kuna mashine ndogo nlimuonyesha aitengeneze tupige pesa, alichonijibu nilisikitika sana eti anasema wamefundishwa kutengeneza mashine kubwa tuu.
Nkajiuliza kama mtu anashindwa kutengeneza mashine ambayo haizidi kilo mbili atawezaje kubuni au kutengeneza mashine inayozidi tani moja.
ELIMU YETU HAINA MSAADA
Pole sanaUkiwa na ' akili ' ndogo na Pumbavu / Popoma siku zote utakuwa unapata shida na taabu sana na GENTAMYCINE hapa Jamvini ila ukiwa ' Genius ' basi kila ' bandiko ' langu utakuwa unalielewa haraka mno kwani ' uwasilishaji ' wangu ni wa Kifasihi na Kifikirishi zaidi na ningeshangaa kama huu ' Uzi ' wangu usingewapata wenye ' Fikra ' finyu na ' Kukurupuka ' nazo.
Wapo wazungu waliosoma na kuona vyuo vina poteza muda na kunza kupiga pesa...Bila shaka ni ukweli usiopingika, wahitimu wengi wa vyuo afrika kwa ujumla magonjwa yafuatayo yanawatafuna;
1. Kukariri
2. Kusoma kwaajili ya kuajiriwa
3. Kusoma kwaajili ya kufaulu vyuoni
4. Ukimuuliza swali lolote la kada aliyosomea atakwambia hiyo atukufundishwa
Kuna mmoja kahitimu chuo cha NIT mechanical engineering, kuna mashine ndogo nlimuonyesha aitengeneze tupige pesa, alichonijibu nilisikitika sana eti anasema wamefundishwa kutengeneza mashine kubwa tuu.
Nkajiuliza kama mtu anashindwa kutengeneza mashine ambayo haizidi kilo mbili atawezaje kubuni au kutengeneza mashine inayozidi tani moja.
ELIMU YETU HAINA MSAADA
Kwakushindwa kujibu hili swali basi ni kweli Waafrika ni wahitimu wa vyuo vikuu tu.Acha ' Bange / Bangi ' Mkuu hebu nipe ' madini / maarifa ' ili niweze Kufaulu huu Mtihani wangu muhimu mno wa leo mchana.