Najaribu kuwaza tu Mrema na Lipumba wawakilishi wa Wapinzani

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Najaribu kuwaza na kuwazua kuwa Mh A.Mrema na Mh Lipumba ni wawakilishi wa wapinzani kwa Wagen wakija.
Kwahiyo inaonekana Serikali na Wapinzani wako Vizuri.
 
uKIMUONA mtu na kanzu kwenye shughuli unadhani ni sheikh au maalimu? Na hapo hawo unadhani ni akina nani
 
Back
Top Bottom