ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
Kujiunga na mfumo flani au chama flani chenye malengo na mwelekeo wake sio kitu Rahisi Hebu chukulia MFANO wale WALOKOLE, Au WANAJESHI, ama WANA SARAKASI Unafikiria nini ukiwaona wakitimiza amri na taratibu za kanisa lao?? NDIVYO HIVYO NINAVYOONA KWA WANASIASA KWA UJUMLA WAO KUWA KWAO KWENYE SIASA NI KAMA MGONJWA ANAYETAKA KUPONA KWA HALI YEYOTE ILE HATA KAMA ATAPEWA DAWA CHUNGU AU KALI KIASI GANI KAMA TUU ITAMUPONYA ATAINYWA, WAKATI MWINGINE INABIDI WAKUBALI KUNYWA CHUNGU NA TAMU YA VYAMA VYAO!! ISEEE !!!!!!. Bora kuwa huru AU vipi mheshimiwa????