optimist JF-Expert Member Joined Sep 13, 2009 Posts 284 Reaction score 107 Dec 6, 2019 #1 wakubwa poleni na majukumu nimekutana na shida moja nina simu moja ya kichina ( huawei honor 10 lite) najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali mwenye ufaham
wakubwa poleni na majukumu nimekutana na shida moja nina simu moja ya kichina ( huawei honor 10 lite) najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali mwenye ufaham
Nyambiza jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2018 Posts 1,033 Reaction score 1,861 Dec 6, 2019 #2 Kwani huna habari kwamba Huawei wamepokonywa umiliki wa Google play
Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 1,170 Reaction score 1,355 Dec 6, 2019 #3 Nyambiza jr said: Kwani huna habari kwamba Huawei wamepokonywa umiliki wa Google play Click to expand... Duuuh! kumbe sisi wa Huawei kazi tunayo!! kwa hata apk zinagoma?
Nyambiza jr said: Kwani huna habari kwamba Huawei wamepokonywa umiliki wa Google play Click to expand... Duuuh! kumbe sisi wa Huawei kazi tunayo!! kwa hata apk zinagoma?
M mo pal mo Member Joined Jul 3, 2020 Posts 43 Reaction score 20 Jul 4, 2020 #4 Huawei hawajapokonywa umiliki wa Google mm ninayo huawei na bado inapiga mzigo kama kawa