VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 Apr 27, 2014 #1 pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM. kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama.
pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM. kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama.
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Apr 27, 2014 #2 umelazimishwa kuitazama? hiyo tv yako ina station moja tu?
S Shuaibu yahaya Member Joined Jan 8, 2014 Posts 93 Reaction score 32 Apr 27, 2014 #3 uwe unaangalia TV iman utapata kitu.
Kwetu Ngoreme JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 489 Reaction score 189 Apr 27, 2014 #4 kisa-na-mkasa said: pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM. kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama. Click to expand... Hivyo vikwazo ungeviweka kwenye umalaya na pombe utakuwa mbali sana kimaendeleo.
kisa-na-mkasa said: pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM. kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama. Click to expand... Hivyo vikwazo ungeviweka kwenye umalaya na pombe utakuwa mbali sana kimaendeleo.
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,129 Apr 27, 2014 #5 karibu TV 1
manwest1 JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 225 Reaction score 135 Apr 27, 2014 #6 Weka picha.
B braitondaudiurassa New Member Joined Apr 13, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Apr 27, 2014 #7 karibu tv1
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Apr 27, 2014 #8 kisa-na-mkasa said: pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM. kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama. Click to expand... Usipoitazama wewe tuko watanzania wazalendo mamilioni, bado tutaitizama TV yetu ya taifa.
kisa-na-mkasa said: pamoja na kuwa ni vituo vya kitaifa vya luninga na redio,TBC imejaa ujuha,ushabiki wa chama tawala,upotoshaji,unafiki na kulamba miguu ya MACCM. kuanzia leo naweka vikwazo kwa TBC.sitasikiliza wala kutazama. Click to expand... Usipoitazama wewe tuko watanzania wazalendo mamilioni, bado tutaitizama TV yetu ya taifa.
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 Apr 27, 2014 #9 yote sawa tu.