naitwa Judith

Judith, karibu sana, mimi naitwa Mabel, kijana mtanashati, mpole na mkarimu. . Sifa yangu kubwa ni kuwa tulizo la wote wenye majeraha ya mioyo yao, waliokata tamaa, hivyo siku ukiwa na matatizo kama hayo usisite nipo kwa ajili ya matumaini mapya, availability yangu ni 100%

Pamoja na hayo yote, JF ni kiboko ya wote hata mimi pia (ila baada ya JF nafuata mimi) kwani JF ni tulizo la roho na kimbilio la wengi kwani kuna watalamu kutoka kila idara.

Karibu JF, karibu sana
 
Mgeni karibu sebureni hadi chumbani, ujisikie huru kabisaa!
 
Miss Judith karibu sana naona hata jina lako limenivutia kama kweli ni Miss basi tupo tayari kutangaza hata NIA' Hope utafurahia JF utakutana na kila aina ya watu hivyo ni kushirikiana nao tu!
 
The motion is accepted,u are warmly welcomed in here,PM me if u got any problem babe.:
(hands craping)
 

haya dada judith...naona umekuja kibunge zaidi. karibu sana
 
usijali mpenzi...naona kaka Buchanan keshakufundisha namna ya kuquote.....jinsi ya kuweka avatars we gonga kwenye my profile nadhani mambo yatajipa mbele kwa mbele kama sio hapo basi kwenye settings

We mwalimu mbona unababaisha?
 

mwenzako anaitwa smati kajiunga leo na tukamuelekeza sehemu fomu zinapopatikana_kimsing fomu tumeziweka kwa dereva wa kivuko cha mv magogon, kachukue na ujaze kwa ufasaha kisha mpelekee invisible ofis yake ndogo ipo magogon; mkabala na wizaRa ya elimu_utaona.nembo ya bibi na bwana ndo hapo hapo
 
aisee hii mipoints uliyompa ya ukweli sana ID gani ulikuwa unaitumia kabla ya kujirejista tena disemba?
 
Karibu sana Dada Judith. Ninakutakieni nyote: wewe, familia yako, ndugu, jamaa na marafiki Hei na Baraka za XMAS. Pia kwa fursa hii ninakutakia 2011 iliyojaa Afya Njema, Mapenzi na Mafanikio. Karibu sana.
 
asanteni sana, nashukuru kwa ukarimu wenu na kwa ushauri wenu nazidi kuifahamu JF. nawapenda wote

merry x-mass and happy new year 2011
 
Miss Judith karibu sana naona hata jina lako limenivutia kama kweli ni Miss basi tupo tayari kutangaza hata NIA' Hope utafurahia JF utakutana na kila aina ya watu hivyo ni kushirikiana nao tu!
Mbona unamshusha hivyo, hajasema kuwa ni Miss au Mrs, we unampachika U miss. Any way kwa taarifa yako ni Mrs somebody. Judy karibu jukwaani japo nilikuonya juu ya kutumia jina lako la ukweli.
 
hahaa, JF bwana, nimesoma na mambo ya kutangaza nia! mara hii tu kutangaza nia? hahahaaaaaaaaa
 
karibu sana Judith,

Zingatia aliyokudokeza smati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…