nawapenda wote na nawatakia x-mass njema.
mr/madam speaker, i propose the motion that judith be accorded a warm welcome at jamii forums where people dare to talk opennly. mr/madam speaker, I beg to move
wake up all those who have fallen asleep and clap your hands please!
thanks mr/madam speaker.
mikononi mwa nani? mbona unamtisha mrembo banaMerry x-mass na karibu sana!ntakuombea sana usije dondokea mikononi mwa ......
nashukuru mdada mwenzangu preta, nimeipenda hiyo avatr imekaa kix-mass. hongera mwenzangu nami natafuta avatar ila sijajua namna ya kui-attach, pia sijajua ukitaka kumjibu mtu pamoja na quotes unafanyaje hadi quote inatokea. naomba mnisaidie jamani.
voice umenifurahisha kuhusu signature . kuna mtu kanifundisha sasa hivi kuiandika na mimejua kwa haraka. wow! kuhusu majukwaa ya JF mi sibagui, ila hilo la kikubwa mmh, sijui kama nitayaweza. ila nikilifungua halifunguki, labda ni ugeni. naamini nitazoea tu

mikononi mwa nani? mbona unamtisha mrembo bana