mimi nna adobe master collection cs5 yenyewe unapofungua program mara ya kwanza eg premier au yoyote kwenye collection ina update kwanza plugins na kila kitu necesary then inajirestart. Sasa sijui yako vipi? Kama inaandika majina ya plugin znazomiss jaribu kuzidownload ambazo ni mahususi kwa cs4