Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,315
Kubadili fikra zilizojengeka kwenye vichwa(hardware) za wana-CCM wengi ili waendane na matakwa ya wananchi kwa kuwawekea vichwa vingine(vyenye mtazamo na fikra tofauti), ni jambo lisilowezekana bali njia pekee ya kuwafanye wafikiri kama wanachi walio wengi,ni ku-install software mpya (katiba mpya) ili tuweze kuwa-programme kwa kutumia hii new softaware na vichwa vyao vikalazimika kufanya kile wananchi wanachokita kwakuwa watakuwa programmed kulingana hii software.
Yeyote mwenye basic knowledge ya IT/computer atakuwa amenielewa.
Yeyote mwenye basic knowledge ya IT/computer atakuwa amenielewa.