siku hizi hata waarabu wanasoma
Siku nyingi ahali yangu Labda nikupe picha yangu kamili na vazi langu la kila siku kazini. Nakukaribisha sana na nitakutafuta Ijumaa tano nitakapo fika dar es salaam
Honger HM Hafif, hongera sana kwa hatua ya kuozesha!
Panapo majaliwa tutakuwepo!
kutakuwepo tende na harua?.je kutakuwepo vinywaji gani?sababu kinywaji ndo muhimu kabla ya yote.inshallah Mungu akitujalia.mia