naitaji ushauri wenu niko njia panda

jamani mwanaume asiyekuwa na msimamo ni janga sana.
sasa wewe sitaki nataka halafu ulivyo zoba unatishiwa nyau unanywea................
shukuru Mungu wewe sio Mentor ama Billie ama Mbimbinho manake ningekuchapa
 
Last edited by a moderator:
Igoma hatuna vilaza wa aina yako umeniudhi sana kuidhalilisha Igoma kwa huu udhaifu uliouonyesha hapa tafuta user name nyingine.
 

halafu mnaboa na story zenu za kutunga mfyuuuuu wewe umesema alipotoa mimba hukupenda na sasa unasema uwezo wa kulea huna hizi habari muongee na form 4 leavers wenzenu
 
Hapo mbuzi kafia kwa muuza supu. Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Kuchovya raha kweri, maana watu huwa wanapoteza network kabisa. Baadae wakishamaliza ndo wanakuja kuomba ushauri!

Raha yake ni ya dakika 20 tu unasahau teh teh
 
punguani huyo akoi mbona hukuomba ushauri?li kakopesha,anajua kusex tu jua na kulea pia wakati unasex,tena msaliti namba moja ninawasiwasi kati ya hao hakuna hata mmoja mwenye feture
 
punguani huyo akili kakopesha,anajua kusex tu jua na kulea pia wakati unasex mbona hukuomba ushauri? ,tena msaliti namba moja ninawasiwasi kati ya hao hakuna hata mmoja mwenye feture
 
jamani mwanaume asiyekuwa na msimamo ni janga sana.
sasa wewe sitaki nataka halafu ulivyo zoba unatishiwa nyau unanywea................
shukuru Mungu wewe sio Mentor ama Billie ama Mbimbinho manake ningekuchapa

Hahahaha., dada yangu kwanza nimekumissije asee,
Huyu jamaa anastahili bakora asee, mwanaume gani hana msimamo? hata sijui ushauri gani anataka, khaaa!!
 
Ulrudiana nae wann wakat ulshaanza mahuciano na mtu mwngine we naww huna msimamo acha akupelekeshe
 
------- ndo maana mnaferi kazi kuvuana chupi tu,wazazi wamejinyima kukusomesha halafu wewe unajigeuza Jet Li wa K. Tobhana bhe!
 
wewe una tatizo la akili?

ulikataa mwanzo asitoe mimba sio?
ulitaka azae?

halafu humtaki lakini uka sex nae bila condom sio?
huku ukijua mwenzio anataka mimba now sio?

halafu unakuja kutuambia sisi hujui ufanyaje?

we mzima kweli?

nilitaka kukoment ila nimekuta The Boss kaandika kama nilivyotaka kuandika. Asante mdau.
sasa nakujibu kama The Boss alivyojibu.
soma tena hapo juu
 
Last edited by a moderator:
jamani mwanaume asiyekuwa na msimamo ni janga sana.
sasa wewe sitaki nataka halafu ulivyo zoba unatishiwa nyau unanywea................
shukuru Mungu wewe sio Mentor ama Billie ama Mbimbinho manake ningekuchapa

Dada mi uzoba nimeuzika muda tu.Sina tena ujinga huo sasa hivi bora niwe zoba katika kutafuta fedha. Uongo dada gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia paaa ujue limekupata..... ila hana mimba na hata kama ana mimba kwani unaogopa mtoto? Je unauhakika hiyo mimba ni yako? Au alikuja kukushirikisha baada ya kuwa kwamba ameshabeba? Think big!
 
Kama kweli ana mimba basi kuna uwezekano mkubwa si yako anataka kukubambikia mzigo usiokuhusu. Fanya uchunguzi wa kina kama utaweza na labda unaweza kufanikiwa kujua mwenye mimba ni nani. Kama unawafahamu marafiki zake wa karibu anzia huko kutafuta ukweli.

sio kwamba sina akili huyu ni mtu niliyekuwa nae for 2 yrs,na mm ni binadamu na madhaifu yangu.just advice ucntukane jamaa.
 
Yani mtu umemwona kadhoofu ila bdo ukapiga kavu!!

Hapa mkuu hata mimi simuelewi huyu ndugu, maana aliposema kadhoofu nikaogopa kuendelea kusoma nikidhani alikuja kusema tayari yupo mtandaoni. Mkubwa wangu wa kazi nae hakujali hilo kajali tamaa ya Abdallah kichwa wazi akaenda YOYO mweh!
 
wewe una tatizo la akili?

ulikataa mwanzo asitoe mimba sio?
ulitaka azae?

halafu humtaki lakini uka sex nae bila condom sio?
huku ukijua mwenzio anataka mimba now sio?

halafu unakuja kutuambia sisi hujui ufanyaje?

we mzima kweli?

Haya ndo matokeo ya kuporomoka kwa elimu ya watanzania wa miaka hii tuliyomo. Huyu jamaa sijui hata chuoni alikuwa anasoma vitu gani? Nakumbuka wakati niko O'level (1990-1993) tayari akili yangu ilikuwa imeishakomaa kiasi cha kutorudi nyuma kwa maamuzi yanayohusu maisha; iweje ili limeishamaliza chuo lakini bado linafanya mambo ya kitoto?

Watanzania mzigo tunao tena mkubwa sana wa kulea watoto wa mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…