Naitaji ramani ya nyumba iwe Na vyumba vitatu

Kwan ww huna idea ya dream house yako inatakiwa kuwa??? Ndo maana mnabakia kujengewa vjumba vya aina ile ile tu.... fikir nyumba yako inatakiwa kuwa then mfate mchoraji mpe maono yako.
 
Asante kwa ushauri wako ndajitaidi kufanya ivyo ila nikuwa nataka nione Na kitu kingine tofauti Na ninavyo fikiri
 
Kwani ya bure Na ya kununua ina tofauti ganii.....?
Tofauti ni kubwa sana mkuu, cha Bure kina madhara.
Wasanifu majengo sikosei wamekaa class 3to4 years kwa ajili ya kazi ya kusanifu majengo Leo hii wewe Burura unataka vya Buree, jipange mkuu.
 
Asante kwa ushauri wako ndajitaidi kufanya ivyo ila nikuwa nataka nione Na kitu kingine tofauti Na ninavyo fikiri
Nataka nikwambie kitu ki1 bro, usiishi kwa kutegemea "maoni" . maamuzi yako, mawazo yako na matendo yako, si ya kufananisha na ya wengine(labda ktk baadhi ya vitu ambavyo nafsi yako inahisi haviko sawa), ya kwako ni bora sana coz yanaakisi maisha yako, na safari yako(destiny) ni tofauti na ya mwingine ww ndo capten wa kila kitu na unawajibika kwa kila kitu maishani mwako.

NB: km unaona cha mwenzio kinakufaa nayo ni sawa pia.
 
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom