El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
mambo vp wana if,naitaji izo game tajwa apo mwenye nazo au nayo aje inbox
Nina Ps3 imechipiwa ina michezo 10 ndani yake na ina GB 320.mambo vp wana if,naitaji izo game tajwa apo mwenye nazo au nayo aje inbox
Waswahili wanajuana kwa vilemba, post ya El nino siilewi hata chembe moja.Anahitaji ps 2 au 3 , sijui hivi anavyohitaji vitu gani, magunia au madebe???.mambo vp wana if,naitaji izo game tajwa apo mwenye nazo au nayo aje inbox
300 k,nikuleteeNina Ps3 imechipiwa ina michezo 10 ndani yake na ina GB 320.
Bei 320,000/= tu
280 kBudget ni kiasi gani??
sawa mwl mwanjelwaInbox ndio wapi huko
Ka google
cheki pm yako300 k,nikuletee